Archivo de la etiqueta: Mbeya Kwanza

Goli la Mbeya Kwanza wakiwachapa Tanzania Prisons 1-0 NBC Premier League 05/05/2022

Goli pekee la penati kutoka kwa Deo Minga limeipa Mbeya Kwanza alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Majimaji Songea. Hivi ndivyo ilivyotokea. Camisetas Manchester City Consulta las últimas noticias sobre fútbol … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , | 6 comentarios

Magoli | Mbeya Kwanza (1-4) Mtibwa Sugar | Fainali | U20 Premier League 17/07/2022

Haya hapa magoli yote matano wakati Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye michuano ya U20 Premier League kwa kuichapa Mbeya Kwanza mabao 1-4 Wafungaji ni Ezekiel Eusebio, Ladack Chasambi, Said Mkopi, Omary Seleman Willie Thobias akaifutia machozi Mbeya Kwanza Camisetas … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , | 21 comentarios

Magoli | KMC 4-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 22/06/2022

REKODI MPYA: Timu ya Mbeya Kwanza wamejifunga magoli matatu na kuipa KMC ushindi wa 4-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu, beki wa Mbeya Kwanza, Geofrey Muha amejifunga magoli mawili, Rolland … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 18 comentarios