Msikie Afisa Biashara Mkuu wa kampuni ya GSM, Allan Chonjo alipokuwa akitangaza kujiondoa kwao kwenye udhamini mwenza wa NBC Premier League.
Camisetas Deportivo Alavés Todas las noticias, resultados y clasificaciones de las ligas de futbol de la Comunidad de Madrid.
Entradas recientes
- TABLA DE LA LIGA PREMIER INGLESA ACTUALIZADA HOY | PREMIER LEAGUE TABLA Y POSICIÓN 2022/2023
- ¿Cuántos equipos de la Premier League puedes nombrar en 30 segundos? | Mac Allister contra Welbeck | MENTIRAS
- Batalla por el descenso de la Premier League: ¿quién caerá?
- ¡Abrí 20 PAQUETES DE ACTUALIZACIÓN DE TOTS de la Premier League!
- ¡40x PAQUETES DE NIÑOS DE LA LIGA PREMIER! 😨 Equipo definitivo de FIFA 23
Comentarios recientes
Wachache ndio hamuelewi
Shida sio udamini wa ligi kwa GSM shida ni kudhamini timu zaidi ya moja za ligi kuu huku mdhamini huyo akiwa na nafsi uongozi na mapenzi kwa timu moja kitu ambaacho kinasababisha kuzinunua vilabu vyengine alivovidhamini
Mkwanja umeisha magodoro hayauziki?
Barbra Gonzalenz 10 GSM 0
Haya Wanaolalamikia udhamini wa GSM, waanze kudhamini wao kama sio unafiki na ushababiki wa kizwazwa
Ulikuwa ni upumbavu sio udhamini
CHUPLICHUPLI😁😁😁😁😁😁😁
Shida kubwa haapaa ni weakness of TFF
Wakati Mna saini mkataba mlikuja kibao Leo mmejiuzulu mmetuma muakilishi…..
Subscribe
https://youtu.be/koUQ1unhkTo
Afadhali looo walitaka kutuharibia ligi
GSM WASUSA KUDHAMINI LIGI KUU
https://youtu.be/koUQ1unhkTo
good decision GSM 4life man 💚💚💚
TFF hakikisheni huyu GSM anavilipa vilabu kwa kuvaa log za GSM kabla hajaondoka kwa sababu huu Ni uhuni Kama waliofanya Vodacom waliopunguza timu kuwa 16 kutoka 20 Kisha kujitoa kirahisirahisi tuuu!!!
Na waliweka hiyo Togo veeeepi
Naomba Usikilize wimbo wa kijana huyu utakufariji
https://youtu.be/neTszUcxRUs
Dd
Kama mlisign contract iweje sasa muishie njiani?
Jiondoeni kabisa, maana hakuna faida yeyote tunayoiona kwa vilabu vyetu zaidi mnataka kujificha kwenye mgongo wa Azam na NBC kupitia udhamini na Bonasi kwa vilabu kutoka Azam. Hao ndio wanaona manufaa kwa ligi yetu na umuhimu wa kuendeleza soka. Nyie njenjeri wa utoporo mnadhani mtatussha kitu.!? Eti na Mwenyekotu wa kamati ya Timu ya Taifa na yeye kutoka GSM na yeye kajiuzuru, dah! Kwahiyo mnaamini kila mtanzania atashituka kwa uamuzi wenu.!? Kweli nyie ni Utopolo!
Mlidhani mtaipelekesha Simba, Simba ni kubwa kuliko nyie GSM. fanyeni kila njia mjiuzuru hata kwenye udhamini wa Yanga kabisa tujue moja.
Mlitaka Simba avae nembo halisi ya GSM wakati hata Yanga wenyewe waligoma kuvaa nembo halisi ya GSM yenye Rangi nyekundu, nyeusi na nyeupe!!! Loooh Nyie GSM mnamambo ya ajabu sana.
Jamani Bora mudhamini ZFF acheni wahanisi wawe hivyo
SIMBA SC ni kubwa kuliko HAJI MANARA / SENZO / GSM mwenyewe.
UTOPOLO wamemponza GSM , ameingizwa choo cha kike cha TFF na sasa amejikuta amepigwa na kitu kizito sana kichwani…
Utopolo ni utopolo tu tuliwaambia cc hatuvai viji lebo vyenu sasa tumeshinda 3-0
Kwan aliombwa? Ameona malengo yake hayaendi kutimia..
GSM hakuwa na nia mbaya kwenye hili jambo ila UTOPOLO ndio aliosababisha haya machafuko …wanaongea sana bila kujua athari zake
Bado hawajatoka na watatoka adi uko utopolo mbwa hawa
BABRA 1 – 0 GSM
SIMBA na Yanga ndio wanaua soka la Tanzania
Nice