Penati zote | Mtibwa Sugar (penati 9-8) Azam FC | U20 Premier League 15/07/2022



Tazama penati zilizoipeleka Mtibwa Sugar fainali baada ya kuibwaga Azam FC kwa jumla ya mikwaju 9-8

Camisetas Juventus Información de primera mano del primer equipo de fútbol del Barça. Noticias de Piqué, Ansu Fati, Pedri y todos tus jugadores favoritos.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

10 respuestas a Penati zote | Mtibwa Sugar (penati 9-8) Azam FC | U20 Premier League 15/07/2022

  1. Jaman mbona vipaji tunavyo vingi hivyi

  2. Hongera vijana wamtibwa kwa kuendelea kutoka SoMo la Vipaji vya soka Tanzania

  3. Nani anatumia akili sasa hapo

  4. Hi penati iliyokoswa Na mtibwa ilitakiwa iludiwe

  5. Goalkipa wa mtibwa anatokea sana

  6. Kudra Mzee dijo:

    Makipa wanatokea sana

  7. Yani ikiwa hapo Kuna var itakua Ni vichekesho ktk ligi yetu makipa wanatokea vyote hivo na refa yupo chini ya goli

  8. Rashid Ally dijo:

    Hawa Azam wanazingua huyu dogo tangu mwaka Jana anakosa penalty na siku ya polisi pia amekosa penalty na Leo amekosa lakn Bado wanampa apige penalty Azam munazingua huyo hafai kupewa penalty au mumpe kocha special wakumfundisha penalty kila siku anakosa yeye tu

Los comentarios están cerrados.