Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022



Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Camisetas URUGUAY Toda la información y última hora sobre Futbol gallego. Noticias, eventos, reportajes y artículos de opinión

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

30 respuestas a Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

  1. Asikwambie mtu yanga tamu

  2. Good azam tv burudani kwa wote

  3. I LOVE YOU YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI BWANJI

  4. vero Steve dijo:

    Mashallah! That's my team? , those are my home boys Mshery, kibwana &job am proud of you?? siwez kuelezea mapenz yangu mazito juu ya yanga ?

  5. safaris cbsi dijo:

    Nilitamka alipoondoka au kufurushwa ndugu Manara kwamba Yanga watachukua ubingwa msimu huu. Nina furaha isiyo kifani. Hongera Dar Young Afrikans.

  6. Kikore Mbajo dijo:

    Hiyo ndio Yanga Africa. ?????????

  7. Teegana Ally dijo:

    Fanyen ukarabati wa pitch.. Pitch imechoka

  8. Gerald Oisso dijo:

    What a goal of fisal salum totoo actually all goal are fantastic

  9. Lanes Mkemwa dijo:

    Kwa kweli Simba ni wazuri sana Sehemu chache tu wamembwela na wapendasoka Wengi toka Msimbazi wanapongeza juhudi za Yanga Msimu huu. YANGA NI MOTOO

  10. Aviwa mwadin dijo:

    Nabi mechi hii uliwaambia wachezaji wapige mashuti tu

  11. Ngassa 1 Tv dijo:

    Maswala ya kupiiga makofi duh????

  12. Pia anampa.makambo mechi chache na dkk chache

  13. Chiko kwani alikua na shida gani kwa sbabu hakupewa mechi nyingi

  14. Ibrahim back n zaidi ya inonga

  15. Maiko Kapelo dijo:

    Wape.saramu.yanga.tamu.kaka

  16. Boas Kabate dijo:

    Ibrahim Bacca ni moto wa kuotea mbali pale centre half. Kama mchezaji asiyepata namba anafanya mazoez mara mbili ya yule anayepata namba, bas Bacca anafanya mara 4. Tackling zake zmeenda shule, smooth tackling. Amekuwa bora sana kwny kujiamin na kuanzisha mashambulizi. Bacca mtu na nusu, Mungu amuhepushie majeraha. Ameziba vizuri pengo la Bakari Nondo Mwanyeto.

  17. Diana France dijo:

    Mayele asipofunga roho inaniuma ??

  18. ???yaan haiwagi feisal inakuaga feisaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Los comentarios están cerrados.