Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022



YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.

Camisetas Tottenham Hotspur Últimas Noticias de Fútbol. Resultados, partidos y fotos del Fútbol Mexicano, Argentino, Español, Italiano y todas las ligas de fútbol del mundo.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

46 respuestas a Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022

  1. Ya Wote dijo:

    naomba usubscribe kwa habari za michezo

  2. Nimependa staili ya kufunga goli la 3

  3. Nimeangalia mechi na kurudi several times, sijafahamu sababu ya refa kulikataa goli la Aucho. Hapakuwa na faulo yoyote pale

  4. https://youtu.be/yjDn28eiPvg
    Angalia hapa goal la 3 la mayele yapo mengi na sio offside sas kuna wapuuzi wasiojua mpira wanasema ni offside

  5. Sniper Short dijo:

    Kwani A.F.C nalo linasemaje

  6. Ombeni Mbuma dijo:

    Hivi MTU una akili zako timamu umeacha kazi zako tanga umekuja dar kuja kuishangilia costr kwamba it's shinda dhidi ya yanga dah hayo maajabu

  7. Daud Khatib dijo:

    Wakowapii. Pumzii. Ya motoo????

  8. Hivi mmemuona mchezaj wa CST alivyo shika tumbo????????

  9. Abdu Kalembo dijo:

    Uyu mzungu anasubiri mayere afunge yy ashangilie duh

  10. Kijani Saini dijo:

    Goli latatu dah watu akili nyingi

  11. YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI ??????

  12. Ukiangalia kwa makini unaona kabisa mpira wetu ulivyo unahitaji nguvu zaidi kuliko akili ndo maana Pablo amefeli?

  13. Kweli mapenzi hayafichiki
    Truly mpenja ni RED
    Sikiliza vizuri 16:14/19:52
    Utajua namaanisha nn

  14. OFF SIDE GOLI LA 3 NO DOUT

  15. Man of the match!

    SURE BOY ?

  16. Hemedi jr dijo:

    Ila huyu vicent wa kosti sio mtu mzuri duh

  17. Musa Ibrahim dijo:

    Mmeona yaniki alichokifanya ??cjawai ona toka ligi imeanza

  18. Feisal anakiwango cha juu sn kwny soka na km ana Nia ya kufika mbali kisoka basi huu n MDA wake

  19. Sheila Muda dijo:

    2022-2023 Yanga tena Bingwa ukibisha rudi tena mahabara

  20. Pokémon Go dijo:

    Tanzania has many beautiful studium. Why can't they host AfCN or CAN?

  21. Huyo refa sijui ni WA coastal union sio kwa kuwabeba huko

  22. Mtu anakuuliza unafanya kazi gan unafikili kushabikia yanga kazi ndogo ????

  23. Pendo Samwel dijo:

    aaaaaa mayele ndo huyohuyo amemwsgilia mioyo ya wananchi nanukuu tuuu

  24. Pendo Samwel dijo:

    aaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo huyohuyo king

  25. Ali Bushiri dijo:

    Mayele asiuzwe bado anajitajka yanga Sana tu

  26. Baraka Mpenja "Wanaoumia Ni Wengi Zaidi Ya Coastal Union…" nimeipenda hio ????

  27. Alice Nice dijo:

    Team mpole wako wapi???

  28. Annah Alex dijo:

    Goli la yanga lilikuwa linaamishwa aisee

  29. Just Imagine Being Us?????????????

Los comentarios están cerrados.