Simba 3-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 16/06/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Pape Osman Sakho amefunga magoli moja likiwa la penati huku goli la tatu likiwekwa nyavuni na Peter Banda.

Camisetas Bayer 04 Leverkusen Noticias de futbol. Mundial, Liga Santander, Champions League, Copa del Rey y más. Todo el futbol en Mundo Deportivo

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

29 respuestas a Simba 3-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 16/06/2022

  1. Trying
    Old
    Hdkdn
    Flood
    Jlnjni

  2. S.S.C? bonge la timu sihami hii timu..kukosa ubingwa ni moja ya matokea ya soka

  3. Simon Zelote dijo:

    Msimu ujao Kama Simba watamtegemea kibu Denis Kama sasahivi wajue hakuna kombe Tena kibu Denis Ni Kama hajielewi vile anakosa mabao mengi ya wazi

  4. Simon Zelote dijo:

    Ila sakho kapiga penalty vibaya japo kufunga.

  5. Simon Zelote dijo:

    Kibu Kama mvuta bangi akili yake haijatulia no creativity.

  6. jasson nelly dijo:

    Kibu sijui ana wenge gani anakosa sana magoli ya wazi kwenye mechi kubwa makosa kama hayo utayajutia yaani sijui ana nn kuna muda anafanya poa ila most of the time ni shida

  7. Msimamo wa ligi kuu Tanzania 2021/2022

  8. Huyu lainzman Hizi offside nyingine hapana

  9. Eve Masaka dijo:

    Goli kipa wa simbaa hatulizii mpr mikononi Ana daka na kuachia wakat udakaji huu ina madhara sana

  10. Hata kama tumepoteza kombe ila bado tumepata raha ??? cha ajabu wenzetu wamepata kombe ila bado wamekasirika jana ndo ujue uchawi upo ?

  11. Othman Daddy dijo:

    Simba wafanye homework yamipira yavichwa hawaruki vichwa hiii nihatari sana kwawatu wenye uzoefu

  12. Huyu kibu sijawai kukuelewa kabisa

  13. fahdi hasnuu dijo:

    Hongera beno kakolanya tunahitaji ushindani kweny kikosi

  14. Danny Nungu dijo:

    Namkubariiiii sanaaa sakho braaaa kumsahau kibudenes nawakubariiii san

  15. fahdi hasnuu dijo:

    Wonderful football HONGERA kwako matola time will tell.

  16. Ila mpenja jamaniiii eti beauty beauty ?

  17. Love more Simba❤️❤️❤️❤️?

  18. Love you SIMBA wenyew wivu wajinyonge ????❤️❤️❤️??

  19. Aaaaa love too you Simba ❤️❤️❤️????

Los comentarios están cerrados.