Magoli | DodomaJiji 1-1 Biashara United | Liga Premier NBC 21/11/2021Dodoma Jiji na Biashara United zimeumana na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji wameanza kupata bao lao dakika ya 10 kupitia kwa Anuary Jabir na Biashara kusawazisha dakika ya 63 kupitia kwa Deogratius Mafie. haya hapa magoli yote mawili.

Camisetas BRASIL Últimas noticias sobre Fútbol. Sigue la última hora de LaLiga Santander, la Champions League y toda la actualidad de los equipos

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

4 respuestas a Magoli | DodomaJiji 1-1 Biashara United | Liga Premier NBC 21/11/2021

  1. Janda Boytzz dijo:

    Beki wa Dodoma anakabaje Hivyo?

  2. Ustawi Wetu dijo:

    Biashara mngeweza kwenda group stage ila viongozi wenu hawapo makini

Los comentarios están cerrados.