Archivo de la etiqueta: Tanzania

Simba 1-2 Yangá | Aspectos destacados | Liga Premier U17 16/06/2024

KARIAKOO DERBY U17: Zimetumika dakika saba pekee kufungwa magoli matatu… Simba wakitangulia dakika ya 61 kupitia kwa Athuman Idd, lakini Chitunzi Masaka akachomoa dakika ya 63, na Hamis Idd akafunga la ushindi dakika ya 67. Ni Ligi Kuu ya Vijana … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , | 22 comentarios

Magoli | Simba 1-2 Yangá | Liga Premier U17 16/06/2024

KARIAKOO DERBY U17: Zimetumika dakika saba pekee kufungwa magoli matatu… Simba wakitangulia dakika ya 61 kupitia kwa Athuman Idd, lakini Chitunzi Masaka akachomoa dakika ya 63, na Hamis Idd akafunga la ushindi dakika ya 67. Ni Ligi Kuu ya Vijana … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , | 19 comentarios

Yanga SC 4-1 Prisiones de Tanzania | Aspectos destacados | Liga Premier NBC 28/05/2024

Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick Yanga ikiiadhibu Tanzania Prisiones magoli 4-1 kwenye mchezo wa kuhitimisha msimu #NBCPremierLeague 2023-24 uliopigwa Azam Complex, Chamazi. Waliotangulia kufunga ni Tanzania Prisiones kwa goli la beno Ngassa dakika ya tano huku Aziz akifunga magoli yake … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , | 33 comentarios

Magoli | Simba 3-1 Singida Grandes Estrellas | Liga Premier NBC 02/03/2023

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 28 comentarios

Magoli | DodomaJiji 1-1 Biashara United | Liga Premier NBC 21/11/2021

Dodoma Jiji na Biashara United zimeumana na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji wameanza kupata bao lao dakika ya 10 kupitia kwa Anuary Jabir na Biashara kusawazisha … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , | 4 comentarios

Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | Liga Premier Sub-20

YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , | 22 comentarios

Magoli | Simba 2-0 Kagera Azúcar | Liga Premier NBC 20/08/2022

Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hola ni mechi ya raundi ya pili … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 45 comentarios

Magoli | KMC 4-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 22/06/2022

REKODI MPYA: Timu ya Mbeya Kwanza wamejifunga magoli matatu na kuipa KMC ushindi wa 4-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu, beki wa Mbeya Kwanza, Geofrey Muha amejifunga magoli mawili, Rolland … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 18 comentarios

Azam 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

Goli pekee la Idris Mbombo limewapa Azam FC pointi tatu muhimu dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Camisetas AS Roma Consulta todas las noticias e información sobre … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 2 comentarios

Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 47 comentarios