Archivo de la etiqueta: Ligi kuu Tanzania Bara

Magoli | Namungo 1-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 16/06/2022

Magoli mawili ya Tariq Seif yameipa ushindi wa 2-1 ugenini Polisi Tanzania dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Goli pekee la Namungo limepatikana dakika ya 2 ya mchezo baada ya beki wa Polisi Hussein Bakari kujifunga. … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 7 comentarios