Namungo FC 0-3 Simba SC | Lo más destacado | NBC Premier League 19/02/2025



Zimepigwa Penati Tatu, Simba Ikiitandika Namungo fc Mabao 3-0 Kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, Ukiwa ni McHezo wa Wa Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania Bara. Jean Charles Ahoua Amefunga Penati Mbili, Huku Lionel Ateba Akikosa Penati Moja Iliyookolewa na Golikipa wa Namungo, Jonathan Nahimana. Goli la tatu kwa simba limefungwa na Steven mukwala dakika za majeruhi … katika mcHezo huu pia, namungo wamepata pigo baada ya beki wake derrick mukombozi kutolewa kwa kadi nyekundu …

Camisetas Dinamarca Diario SPORT. Versión online del periódico deportivo. Todas las noticias del Barça y del mundo del deporte en general.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

20 respuestas a Namungo FC 0-3 Simba SC | Lo más destacado | NBC Premier League 19/02/2025

  1. Namungo walichagua kuharibu mechi

  2. mm ni simba ila tunabebwa sana

  3. Marefa mna nn
    Haki iko wap?
    Utu uko wap?
    Red card♦️ya nyoni na amoh ipo wap???

  4. Uyu coach aki rudia tena kuchezesha tena mpr munite umbwa yan muna umiza san hiz timu ndogo adi uruma

  5. @WakiliHaule dijo:

    Kama hii penati ya kwanza Shomari kapombe ndo kaanza kuvuta jezi

  6. @onelove6065 dijo:

    bila shak utopolo mmemuona refa wa tar8😌🤝

  7. Tff na chama cha maerefa waangalie vizuri wanaharibu football ya Tanzania 😅😅😅

  8. wanaosema tumebebwa wao hawakumbk wanafunga had kwa mikono

  9. Ateba kapigwa dole ndo maana nyekundu

  10. GSM Leo kaoneshwa shoo ya Ubaya ubwela na ml 50 yake

  11. Mimi simba kweli ila hizi penati 2 tumebebwa

  12. Mwiko nyuma mwaka huu mtakoma

  13. Hawa wametumwa kuwaumiza wachezaji wa simba

Los comentarios están cerrados.