Simba 1-2 Yangá | Aspectos destacados | Liga Premier U17 16/06/2024



KARIAKOO DERBY U17: Zimetumika dakika saba pekee kufungwa magoli matatu… Simba wakitangulia dakika ya 61 kupitia kwa Athuman Idd, lakini Chitunzi Masaka akachomoa dakika ya 63, na Hamis Idd akafunga la ushindi dakika ya 67. Ni Ligi Kuu ya Vijana U17, mechi Complejo ikipigwa Azam, Chamazi.

Camisetas ESPAÑA Información corporativa y noticias relevantes sobre Driblab, la consultora especializada en análisis deportivos especializada en fútbol.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

22 respuestas a Simba 1-2 Yangá | Aspectos destacados | Liga Premier U17 16/06/2024

  1. Vikolo vitoto vimepigwa😂😂😂😂tezeaa yanga we😅😅😅😅😅

  2. Kile kitabu cha yanga kuna ukurasa inaelezea jinsi ya kupiga comeback

  3. Kaangalie wachezaji wapya walio sajiliwa na Simba sports .Alikamwe atia neno clubhttps://youtu.be/HAfiqcAo-hA?si=xFLEOP_Z6sSvp9BH

  4. Akika kifo akiepukiki simbaaa😂😂😂😂

  5. Wamenyanyaswa na huku Tena ?

  6. Picha za marejeo sio nzur zina umiza macho

  7. Makolo hata hawa hawa aminiki Wana tiwa tu

  8. @ChenchiKing dijo:

    Kila Kona Makolo Wanakandwa Tu

  9. Sema dude likishaitw yanga bax linakuwaga balaa tyu 🎉

Los comentarios están cerrados.