KARIAKOO DERBY U17: Zimetumika dakika saba pekee kufungwa magoli matatu… Simba wakitangulia dakika ya 61 kupitia kwa Athuman Idd, lakini Chitunzi Masaka akachomoa dakika ya 63, na Hamis Idd akafunga la ushindi dakika ya 67. Ni Ligi Kuu ya Vijana U17, mechi Complejo ikipigwa Azam, Chamazi.
Camisetas FRANCIA Todas las Noticias y Vídeos sobre Fútbol y mucho más, Sigue las Últimas Noticias en Directo.
Entradas recientes
- Beste On-line Casinos 2025 10+ Top Seriöse Casino Seiten
- Namungo FC 0-3 Simba SC | Lo más destacado | NBC Premier League 19/02/2025
- Best Premier League Pronunciations Pt.3 #football #premierleague
- Carrera por el título de la Premier League hasta ahora
- Los mejores goles de la Premier League en lo que va de la temporada (2024/25)
Comentarios recientes
😂😂😅 vikolo vdogo vmefungwa tena bwana
Makolo bhana
Vikolo vidogo bhn😂😂😂
Hii mechi ulichezwa usiku mbona Giza sana
Daah kweli mwaka wa tabu ni tabu tuu masikini hata vidunduka vidogo navyo vinateseka Daah! Kweli ngo'mbe wa masikini hazaii😂😂😂😂😂
Mambo nipendayo me 😂😂😂
Azam inaboa mbona picha mbovu sana
Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu hahaha Wana simbaaa
Waamuzi nimbwa
Maskini adi vidunduka vidogo vimebondwa
Hata huku bado MNANYANYASIKA TUU…😃
Leo ilikuwa siku ya Ahmed Ally kuanza tambo ila ndo hivyo tena
Vimebondwaa😂😂😂
Vimebondwaa😂😂😂
Once a kolo always a kolo😂😂
😂😂😂😂
Vikolo vidogo vilidhan vitaleta maajabu. Vimebondwa😂😂😂
Nguvu moja siombaya kazeni
yanga ni yanga2😂😂😂😂