Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick Yanga ikiiadhibu Tanzania Prisiones magoli 4-1 kwenye mchezo wa kuhitimisha msimu #NBCPremierLeague 2023-24 uliopigwa Azam Complex, Chamazi. Waliotangulia kufunga ni Tanzania Prisiones kwa goli la beno Ngassa dakika ya tano huku Aziz akifunga magoli yake dakika ya 11', 12', na 79' huku goli lingine likifungwa na Kennedy Musonda dakika ya 52. Magoli haya yamemfanya Aziz kuwa mfungaji bora wa ligi # TopScorer akifikisha jumla ya magoli 21 mbele ya Feisal Salum aliyemaliza na magoli 19 Tazama destacados….
Camisetas COSTA RICA Noticias de Fútbol – Diario de Noticias de Navarra
Entradas recientes
- How Bonuses Affect Withdrawals: What Players Need to Know? Home Page Philippines Choice for Online Casino Fun!
- Tuvieron que temblar en él
Thierry Henry y Jamie Carragher están de acuerdo en que la Premier League ha terminado!
- ¿La mejor asistencia en la historia de la Premier League?
- Por qué Florian Wirtz es perfecto para Man City | #premierleague #mancity
- Vivir | Dhanmondi Sports Club vs Legends of Rupganj | DPDCL 2025 | T Deportes
Comentarios recientes
Magoal ya mchongo
Nafsi yangu inasema kila nikimuangalia Mussonda amekosa furaha kbs baada ya kupata taarifa ya kwenda TP MAZEMBE anapotoa pasi ya goli au kufunga mwenyewe unamuona haonyeshi furaha yoyote ile yupo kawaida tu tokea mechi ya MTIBWA alipofunga goli hakushangilia kbs jins gan hakupendezwa na dili lake la kwenda TP MAZEMBE…Mungu akufanyie wepesi wa maisha mema huko uendako MUSSONDA tunakupenda sana



Mm yanga Ila Niko tofauti kidogo. Nafurahi Ki Aziz kupata kiatu, lakini siwezi kumbeza fei, tukumbuke fei kuondoka yanga kumeketa tija kwa wote wawili
, yaani fei kuonekana zaidi na azizi kuonekana zaidi tofauti na walipokuwa pamoja huku mara nyingi wakigimbea namba kumi. Narudia, nafurahi Aziz kushinda kiatu, lakini wote fei na Aziz ni wachezaji wazuri Sana. Hongera kwao.
Hv mbangula yumo kwl?
This is top foul
Fei we fei wewe ,adi mobeto anachukuliwa ,zanzibar bure kabisa
Many good things you have done, weldone president hersi
Aliyeona kitu kwa Ngassa jr. Tujuane
Hivi mwamnyeto aliyemroga alikufa???
Asante sana Azizkii
Azizi ki kapambana sana msimu huu anastahili kiatu


Azizi ki anasemaje dada fei ni wake na anatamba nae namimi kama baba mkwe npepitisha ndoa ifungwe
Mamaeeeeeeh
Iyo mechi Ni Kama imeuzwa
Yangaaaaaaa
Mwamnyeto cjui ana shida gani huyu
Fei alikuwa anampiga misumari mwamba….ila mungu naye ni nani



Mwamba WA Ouagadougou ni ninja tu.
Key anawashenyenta mabeki na makipa
https://youtube.com/@igm_official216?si=wKUEfflvgHncW3u9
Clement yanga wakimtumia kama winga alaf watuletee striker anayeeleweka clement tutaona umuhimu wake
Nakupenda sana azizi l love you. baby boy






Huyu mwamba namkubali sana aisee. Mungu azifi kumtia nguvu
Ila gharib mzinga maneno yako jaman mbona mambo d2
Yule streka wa majini au teka la mguu mmoja salamu zimfikie…
Jamani mashut ya aziz k ni ya moto naona golikipa wa prisoni anadaka alaf anapuliza mikono hatari ila prisoni wameyataka wenyewe pale walipo jaribu kupiga mzinga wa nyuki busu ndipo nyuki wakaamka kweli kweli comback ya kibabe
Skudu yuko bomba sana
Huyu golikipa wa yanga anadaka kwa macho
Ndo wanafananisha na fei



mnzizeee asitoke yanga
Watoto 2nabalaa
akuna kitu kilicho wahi nifurahixha Feisal kukoxa kiatu big up brother
Aziz ki kabeba1: kiatu 2:kombe :robo final caf 4:hamisa 5:kabebesha mimba yani musimu huu amekosa tu kumbeba rais