Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya 63 huku goli pekee la Singida likitoka kwa Bruno Gomes aliyefunga kwa free kick dakika ya 35.
Camisetas PERU Información corporativa y noticias relevantes sobre Driblab, la consultora especializada en análisis deportivos especializada en fútbol.
Entradas recientes
- Beste On-line Casinos 2025 10+ Top Seriöse Casino Seiten
- Namungo FC 0-3 Simba SC | Lo más destacado | NBC Premier League 19/02/2025
- Best Premier League Pronunciations Pt.3 #football #premierleague
- Carrera por el título de la Premier League hasta ahora
- Los mejores goles de la Premier League en lo que va de la temporada (2024/25)
Comentarios recientes
Gg
❤
Tuongeze moja kama sakho
Wakomeshe hao makape
Mungu tunaomba umbariki chama
Simba motoo
Tunaisubili Club Bingwa
Kuna Watu Anasema Hatufiki Makundi Watajutia Tukifika Makundi na Robo na Nusu Fainal
AZAM TV
Waoooh
Pape sakho ni mchezaji mwenye qult ya viwango vya Hali ya juu mwache2 aendelee kutupa Raha Wana Simba lakn huyu sakho ipo siku atakuja ua goli kipa maana so Kwa mashuti hayo hatal sana huyu mwamba bigup kakwe
Simba nguvu moja
POS🦁
Mnaona tu goli la sakho ,Hilo la Gomez vipi wenzangu mbona kama hamtaki kukubali
НЕ ЧИТАЙ ЭТО!!
Я ПРЕДУПРЕЖДАЮ…
если ты это прочитал разошли это сообщение в 5 игр иначе твоя мама умрет через 2 дня!
знаю что бред но не могу проигнорировать боюсь – вот нахера такое слать, а?
Прошу прощения!
Kweli waweza kufa kwa raha 😄mpira mtam sanaaaa
Mpenja tunaomba jina jipya la baleke plz🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sakho anajua Kama Ronaldo
nyie nyie nyie simba so pieces shet gus
Naliaakwafraaa sako wewweeee
Fhhj
Ila iposiku mbape atauwa kipa au kupelekwa hospital jamni daaa nihatali
Simba mabingwa msimu ujao
Kweli kocha mizuka mingi sana hata mim simuelew kidgo labda tusubilie mbele itakuwaje ,
Mbona huyu kocha wetu mpya ni kama ana wenge au ni mimi ndo namuangalia kwa mawenge
Simba baba lao
Simba raha Sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Naipenda simba 🤗❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ hii nd simba. Ya ss
Huyu goalkeeper aibu zote ziwe kwake…!