Dodoma Jiji na Biashara United zimeumana na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji wameanza kupata bao lao dakika ya 10 kupitia kwa Anuary Jabir na Biashara kusawazisha dakika ya 63 kupitia kwa Deogratius Mafie. haya hapa magoli yote mawili.
Camisetas BRASIL Últimas noticias sobre Fútbol. Sigue la última hora de LaLiga Santander, la Champions League y toda la actualidad de los equipos
Entradas recientes
- Beste On-line Casinos 2025 10+ Top Seriöse Casino Seiten
- Namungo FC 0-3 Simba SC | Lo más destacado | NBC Premier League 19/02/2025
- Best Premier League Pronunciations Pt.3 #football #premierleague
- Carrera por el título de la Premier League hasta ahora
- Los mejores goles de la Premier League en lo que va de la temporada (2024/25)
Comentarios recientes
Beki wa Dodoma anakabaje Hivyo?
Dodoma jiji
Biashara mngeweza kwenda group stage ila viongozi wenu hawapo makini
Bon courage