Magoli | Malindi 2-1 Kisiwani | Premier League de Zanzíbar 25/03/2022



Timu ya Malindi SC imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Kisiwani FC katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar #PBZPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Amaan Zanzibar. Magoli ya Malindi yametoka kwa Mohamed Mussa dakika ya 16′ na Juma Said dakika ya 56′ huku Shaban Kamo akiwa ndiye aliyefunga goli la Kisiwani

Camisetas SUECIA Fútbol. Sigue todas las noticias del deporte rey: partidos, imágenes, vídeos, goles y toda la última hora de las mejores Ligas y competiciones

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

2 respuestas a Magoli | Malindi 2-1 Kisiwani | Premier League de Zanzíbar 25/03/2022

  1. Dilip Dab dijo:

    Lig.imevhokaa km.uwa
    We
    Makuti

Los comentarios están cerrados.