YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yohanda Ndushi na Abby Mikimba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK: ►SITIO WEB:
Camisetas ESTADOS UNIDOS Un jugador muere por un golpe en un partido de fútbol. EFE. Javier Tebas acompaña la cena de Nochebuena de Cruz Blanca Huesca.
Entradas recientes
- Chelsea vs. Shamrock Rovers: destacados extendidos | Liga UECL Fase MD 6 | Golazo deportivo CBS
- ¿La mejor salvada de la Premier League de todos los tiempos? ✋👀
- Newcastle United vs Brentford: destacados ampliados | Copa Carabao | Golazo deportivo CBS
- Mejores goles ganadores en los derbis de la Premier League
- Cada gol de la Premier League de la jornada 16 (2024-25) | Deportes NBC
Comentarios recientes
Nyanda Bomoa babaangu bald mbn safi tu tuqwe makin askli waku siku nyingne
Kazi nzul vijana
Dactor jamaniiii ana tumbwizaaaaaaaa hahahahahahah
Kwani kwenye ligi hii ya und20 Nani anaongoza ligi
Daa hatari saaana 💛💚💛💚🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏💯💯💯
Mashoto noma sana
Yanga raha mamae
Mm Sina timu,ila YANGA IKIFUNGWA NAJISKIA VIBAYA,HADI HOMA.YANGA,YANGA,YANGA.
Hao madogo waliofunga sarpong haoni ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo dogo aliye funga goli la pili anamzidi Fiston x 10000
Heeeee 🤨🤨🤨hii tabia ya yanga ya longball uwa mpk kwa watoto
Yanga wako vizur sanaaa
Bora Hawa kama kaka zao
Wakiwa wakubwa watakuwa utopolo kisha
Hawa vijana wa Yanga kikosi chao kipo vizuri sana.
OYAA NIAMININI MIMI HAWA SIO U20 WOTE HAO WAMEFOJI UMRI😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣
Hi u20 mbn inatisha jmn yangaaa 💛💚 oyeeeee
Goli nzuriiii jmn
Vjana wana speed sana, kikubwa tuwatia nguvu tu kwa kla ha2a
YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💛💚💛💚💛
Hawa kweli ni under 20 au macho yangu tu
Saf vijana wa yanga