GSM yajiondoa udhamini mwenza NBC Premier League



Msikie Afisa Biashara Mkuu wa kampuni ya GSM, Allan Chonjo alipokuwa akitangaza kujiondoa kwao kwenye udhamini mwenza wa NBC Premier League.

Camisetas Deportivo Alavés Todas las noticias, resultados y clasificaciones de las ligas de futbol de la Comunidad de Madrid.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , . Guarda el enlace permanente.

29 respuestas a GSM yajiondoa udhamini mwenza NBC Premier League

  1. Fatma Nassor dijo:

    Shida sio udamini wa ligi kwa GSM shida ni kudhamini timu zaidi ya moja za ligi kuu huku mdhamini huyo akiwa na nafsi uongozi na mapenzi kwa timu moja kitu ambaacho kinasababisha kuzinunua vilabu vyengine alivovidhamini

  2. Abc xyz dijo:

    Mkwanja umeisha magodoro hayauziki?

  3. Abc xyz dijo:

    Barbra Gonzalenz 10 GSM 0

  4. IP_header dijo:

    Haya Wanaolalamikia udhamini wa GSM, waanze kudhamini wao kama sio unafiki na ushababiki wa kizwazwa

  5. Jacob Laiser dijo:

    Ulikuwa ni upumbavu sio udhamini

  6. CHUPLICHUPLI😁😁😁😁😁😁😁

  7. Shida kubwa haapaa ni weakness of TFF

  8. Wakati Mna saini mkataba mlikuja kibao Leo mmejiuzulu mmetuma muakilishi…..

  9. Afadhali looo walitaka kutuharibia ligi

  10. Issam Juma dijo:

    good decision GSM 4life man 💚💚💚

  11. Elisha Nziku dijo:

    TFF hakikisheni huyu GSM anavilipa vilabu kwa kuvaa log za GSM kabla hajaondoka kwa sababu huu Ni uhuni Kama waliofanya Vodacom waliopunguza timu kuwa 16 kutoka 20 Kisha kujitoa kirahisirahisi tuuu!!!

  12. Na waliweka hiyo Togo veeeepi

  13. rich shayo dijo:

    Kama mlisign contract iweje sasa muishie njiani?

  14. STAR ALIVE dijo:

    Jiondoeni kabisa, maana hakuna faida yeyote tunayoiona kwa vilabu vyetu zaidi mnataka kujificha kwenye mgongo wa Azam na NBC kupitia udhamini na Bonasi kwa vilabu kutoka Azam. Hao ndio wanaona manufaa kwa ligi yetu na umuhimu wa kuendeleza soka. Nyie njenjeri wa utoporo mnadhani mtatussha kitu.!? Eti na Mwenyekotu wa kamati ya Timu ya Taifa na yeye kutoka GSM na yeye kajiuzuru, dah! Kwahiyo mnaamini kila mtanzania atashituka kwa uamuzi wenu.!? Kweli nyie ni Utopolo!

    Mlidhani mtaipelekesha Simba, Simba ni kubwa kuliko nyie GSM. fanyeni kila njia mjiuzuru hata kwenye udhamini wa Yanga kabisa tujue moja.

    Mlitaka Simba avae nembo halisi ya GSM wakati hata Yanga wenyewe waligoma kuvaa nembo halisi ya GSM yenye Rangi nyekundu, nyeusi na nyeupe!!! Loooh Nyie GSM mnamambo ya ajabu sana.

  15. Nadir dijo:

    Jamani Bora mudhamini ZFF acheni wahanisi wawe hivyo

  16. SIMBA SC ni kubwa kuliko HAJI MANARA / SENZO / GSM mwenyewe.

  17. UTOPOLO wamemponza GSM , ameingizwa choo cha kike cha TFF na sasa amejikuta amepigwa na kitu kizito sana kichwani…

  18. Kombo Omar dijo:

    Utopolo ni utopolo tu tuliwaambia cc hatuvai viji lebo vyenu sasa tumeshinda 3-0

  19. Kwan aliombwa? Ameona malengo yake hayaendi kutimia..

  20. GSM hakuwa na nia mbaya kwenye hili jambo ila UTOPOLO ndio aliosababisha haya machafuko …wanaongea sana bila kujua athari zake

  21. Hassan Moshi dijo:

    Bado hawajatoka na watatoka adi uko utopolo mbwa hawa

  22. SIMBA na Yanga ndio wanaua soka la Tanzania

Los comentarios están cerrados.