Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hola ni mechi ya raundi ya pili kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague
Camisetas ALEMANIA Actualidad y últimas noticias de Portada Fútbol con La Provincia. Toda la información y última hora de Portada Fútbol.
Entradas recientes
- Chelsea vs. Shamrock Rovers: destacados extendidos | Liga UECL Fase MD 6 | Golazo deportivo CBS
- ¿La mejor salvada de la Premier League de todos los tiempos? ✋👀
- Newcastle United vs Brentford: destacados ampliados | Copa Carabao | Golazo deportivo CBS
- Mejores goles ganadores en los derbis de la Premier League
- Cada gol de la Premier League de la jornada 16 (2024-25) | Deportes NBC
Comentarios recientes
Usajiri wasimba
Ulaya ni ulaya tuu
Michezaji ya bongo mda mwingine ni ovyo sana, sasa mzamilu alikua anapiga pasi au
Mlete mdhungu
Mlete mdhungu
Mzungu kafunga midomo mitandaoni
CCC
Duu
Goli zuri lamzungu
Washabiki wa Tanzania ni wanafiki, wanataka mchezaji mechi ya kwanza tu afunge.Tuwache ushabiki maandazi.Tuwachie makocha na wachezaji wafanye kazi.
Mchezo wa mpira unamatokeo matatu ilo mkumbuke.Haiwezekani ushinde wewe tuu! Kwani hao wengine wamezimia?
Lewandowski mtupu!🔥🔥
Hatujamalidhaaaaaaaa
Haiwezi kutuua Simba ya kwetu wenyew
haijawahi kutokea kanout akacheka mzungu leo kafanya kanout amecheka
I'm watching from England…this is an amazing team..I will travell to Tanzania to deem it more..
Alichokifanya mzungu kitamuongezea confidence hakika baada ya muda wa2 watamwelewa!
Tuseme tu ukwel mzungu akuna mchezaji mechi inayokuja mtakuja kuamin maneno yangu
Mlete mletee
Leta mzungu,kafanya kweli…🦁⚽🇹🇿
Phiri atari
Mzungu hatari
kufunga atafunga lkn sio kuifunga yanga ndugu
Sijui mwenda alikuwa anampasia nani ule mpira kwasababu haikumlenga mtu Wala haikulenga goli na dejani alikuwa anaomba ,
HIVI JANA KULIKUWA NA MECHI NYINGINE AU NI HII TU YA SIMBA? KWANI SISIKII TIMU NYINGINE ZAIDI YA SIMBA NA LETE MZUNGU KILA. TAAA😂😂😂😂
goli 1 majeruhi wa 3 haijawahi tokea 😂😂😂😂
DUUUU.. KWELI HILI GOLI NI HATARI MPAKA #KANUTI KACHEKA 😂😂😂😂
Goli zuri ila najiuliza huyu mwenda esabu yake ilikua ni nin naona ule mpira ulikua haujulikan niwafung goli au niwakumpasia mzungu goli kipa angekua makin mzungu asinge fung najua uwanjan pagumu ila dogo akaze asituchanganye hata kwenye ngao mipira yake haikuelewe anafanya wat wamkatae mzungu namshaur kocha akimpnga mzungu ampange na kapombe sio mwenda same time azingua
Wafungaji NBC premier league
Goli zuri
Nimelipenda goli la dejan yaan n 🔥🔥🔥🔥
Woyooooo mlete mdhunguuuu🤣🤣🤣👏👏👏 #NguvuMoj🦁🦁🔥🔥🔥🔥💪🏽💪🏽
KIPA WA KAGERA HAKUNA KITU, HAJITUMII🥴🥴 SIO MPAMBANAJI
Gharibu mzinga ww ni mwamba wa kwanza kutangaza goli la mzungu , anafunga huyooooo…..
Hakika kweli mzungu ana balaa alikua haja pata nafasi gori zuri kweli kweli
Goli la kawaida tu
Sasa Cha ajabu ni nn hapo mbona goli la kawaida na huyu mzungu ni stireker sio kipa kufunga ndo kawaida asipofunga ndo maajabu….
Uchumi wa blue
Hakuna goli la ufundi kiukweli mmakocha was kizungu wanatupiga tu
https://youtu.be/_cuw576UGtA
Haha lolote huyo
Mzungu kamfunika Mandonga. Ni muda wa Muzungu
Anajua huyo anabalaaa huyo mlete mzungu
vzr
قلت لكم هذه اللاعب اشتي وقته ينفجر انا نعرف اللاعبين
سيمبا فيه المتعه والامتاع والروعه