Haya hapa magoli yote matano wakati Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye michuano ya U20 Premier League kwa kuichapa Mbeya Kwanza mabao 1-4
Wafungaji ni Ezekiel Eusebio, Ladack Chasambi, Said Mkopi, Omary Seleman
Willie Thobias akaifutia machozi Mbeya Kwanza
Camisetas ESTADOS UNIDOS Encuentra aquí todos los fichajes de fútbol, altas, bajas y rumores: Mercado de fichajes ✓ Noticias fichajes ✓ Fichajes La Liga
VAR HOYEEE
Mtibwa bwanaa ni nouma
Huyu kipa ni kwel wa mbeya mwisho
Mbona kaka zao wanazingua
Kwanini serikali na tff wasiweke sheria ya kusajili lazima u 20, maana ndio tunapata timu bora ya taifa
Huyo kipa ni utopolo mtupu
Wakati mtibwa under 20 ikitawala soka la vijana kaka zao wanapambana kutokushuka daraja misimu mfululizo
What a kav
Busungu aliwai kufunga free kick nne mfululizo.
Ni shidaaa.
Hongera wile kutoka makambako by rafiki yako hapa victa wanyama
Huyu kipa wa mbeya kwanza ni pazia tu
Vijana wa timu ya mtibwa ndio kila ktu nchi hii hizi timu kubwa ni porojo tu
home boy mtibwa watoto wa home morogoro
Gaol tamu ni la mwisho bonge la mzungusho
Said kazi two assist na ulipga penalt ya mwish semi final keep going mdogo wangu mzee alipopumzishwa huko anafurahii zawadi nzuri kwake
Club nyingine zijifunze kulea vijana kama mtibwa vijana wao wanaishi camp vzuri sio wengine mashindano yakikaribia ndio wanaitana ujanja ujanja mwingi mbeya kwanza hongereni umejitahidi na mnacheza vizuri
Sio kila muda VAR ?, bongo bhana
Kwa ujumla haya mashindano yalikuwa ni mazuri sana. Yaani nilikuwa nafuatilia matokeo kwenye youtube utafikiri ni premier league. Kwa ujumla wachezaji tunao na wanastahili kulelewa tufike nao mbali. Naona tukitoa wachezaji kadhaa kwenda kucheza timu kubwa na timu yetu ya Taifa inaenda kupata wachezaji wa maana. Hongera sana TFF kwa programme hii na pia kama ikiwezekana ianzishwe sheria ya kuvilazimisha vilabu vikubwa kuchagua wachezaji angalau watatu wawemo kwenye timu zao za wakubwa na angalau wapate kucheza mechi 10 kila mmoja kwa msimu ili kuwatambulisha kwenye maisha halisi ya soka. Mechi zilikuwa zinastahili kabisa kulipiwa kiingilio.
Simba , Yanga na Azam wapunguze nenda kamlete..wachukue vijana wenye vipaji ambao wanawanyima namba
Mtubwa Haina mpinzani, hongera sa vijanaaaa
Hawa Watoto wa Mtibwa Wanajua.
MECHI ILIKUWA NZURI