Tazama mambo yalivyokuwa wakati Mtibwa Sugar ikiendeleza ubabe kwenye U20 Premier League 2022 kwa kuichapa Mbeya Kwanza 1-4.
Wafungaji ni Ezekiel Eusebio, Ladack Chasambi, Said Mkopi, Omary Seleman
Willie Thobias akaifutia machozi Mbeya Kwanza
Camisetas UCRANIA Todas las noticias sobre Fútbol publicadas en EL PAÍS. Información, novedades y última hora sobre Fútbol.
Eeeeh hawa u20 kwel
Hawa ni under 20 kweli?