Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Pape Osman Sakho amefunga magoli moja likiwa la penati huku goli la tatu likiwekwa nyavuni na Peter Banda.
Camisetas ISLANDIA Consulta las últimas noticias sobre fútbol nacional e internacional. Todas las competiciones, fichajes y análisis de los mejores partidos
Manara aliondoka na kombe… Babra Mungu anakuona?
Xako fundi
Mechi ya leo
Nakubr Sana
Azizi ki
.
Alaf goli la pili kipa alitaka kumdaka Sakho tena ??????
Halafu goli zote tatu zimeingia upande wa kulia mwa kipa
Kwa mara ya kwanza Tanzania limetokea tukio la Kipa kumdaka Pape badala ya mpira ?.
Simbaa nguvu mojaa kombe ibelieve litarud mwakan
Tunahtaj kombe letu lirudi mwakan
Hawa watoto msiwauze
Looking good
Kwani haya ni mashindano gani?? Msimu si umalizika na Yanga ni bingwa
Sako anayo control nzuri sana ya mpira,pasi ya kisigino ya Banda pia ilikua Super sana???
??????
https://youtube.com/channel/UCBvmh2-El5YM5m4YXVr0DCw
Mlikuwa wapi kipindi chote hcho ???????
Simba raha jmn ukiwa unaangalia unainjiyo
Kwani angepiga shuti dogo ingekuaje
Pambana mtan
Chambua kama kama karangaaaa
Simba daima mimi nisimba kuimba nimapokezano tu
Hahaha nikumbatie eeeee
Mautopolo yanaropokwa tu
Dah, simba na kudhangilia walishangilia ety
Simbanguvumoja
Nipe nikupe raha tupate
yaani Simba ni kama baskeli ya kunolea Visu unanyonga wee haiendi popote??
Mpenja ????
Alifanya vizurii
ety wameiga yanga kumpiga cost kwa gor 3 alafu tukatangaza ubingwa
yanga hasa malimbukeni hawajauwona ubingwa miaka minne bs tena imekua duniani kama ndokwanza wao2 wachukue ubingwa mbwa wakubwa nyie
Badru tunajipanga sasa
Badru usikariri maish wes
Hii mechi hata haina mvuto
imeisha iyo tunamalizia Ligi
Gape la point zimebaki ngapi vile
Kipa aliona bora penalty kuliko kuchengwa na skho?, Sakho akachukia akapiga mshut wa hasira kama kaka yake Mane na akagoma kunyunyuza, baadaye akamjibu tena kipa kwa kumchenga nafasi hii hata kumshika mwili ukawa mbali?, daah jamaa akaona hapa ndio sahihi ninyunyuze, akili mingi sana POS
Hil shut duh