Yanga SC 4-1 Prisiones de Tanzania | Aspectos destacados | Liga Premier NBC 28/05/2024



Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick Yanga ikiiadhibu Tanzania Prisiones magoli 4-1 kwenye mchezo wa kuhitimisha msimu #NBCPremierLeague 2023-24 uliopigwa Azam Complex, Chamazi. Waliotangulia kufunga ni Tanzania Prisiones kwa goli la beno Ngassa dakika ya tano huku Aziz akifunga magoli yake dakika ya 11', 12', na 79' huku goli lingine likifungwa na Kennedy Musonda dakika ya 52. Magoli haya yamemfanya Aziz kuwa mfungaji bora wa ligi # TopScorer akifikisha jumla ya magoli 21 mbele ya Feisal Salum aliyemaliza na magoli 19 Tazama destacados….

Camisetas COSTA RICA Noticias de Fútbol – Diario de Noticias de Navarra

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

33 respuestas a Yanga SC 4-1 Prisiones de Tanzania | Aspectos destacados | Liga Premier NBC 28/05/2024

  1. @rogersiddy dijo:

    Nafsi yangu inasema kila nikimuangalia Mussonda amekosa furaha kbs baada ya kupata taarifa ya kwenda TP MAZEMBE anapotoa pasi ya goli au kufunga mwenyewe unamuona haonyeshi furaha yoyote ile yupo kawaida tu tokea mechi ya MTIBWA alipofunga goli hakushangilia kbs jins gan hakupendezwa na dili lake la kwenda TP MAZEMBE…Mungu akufanyie wepesi wa maisha mema huko uendako MUSSONDA tunakupenda sana🤝✌️🙏❤

  2. Mm yanga Ila Niko tofauti kidogo. Nafurahi Ki Aziz kupata kiatu, lakini siwezi kumbeza fei, tukumbuke fei kuondoka yanga kumeketa tija kwa wote wawili😊, yaani fei kuonekana zaidi na azizi kuonekana zaidi tofauti na walipokuwa pamoja huku mara nyingi wakigimbea namba kumi. Narudia, nafurahi Aziz kushinda kiatu, lakini wote fei na Aziz ni wachezaji wazuri Sana. Hongera kwao.

  3. Fei we fei wewe ,adi mobeto anachukuliwa ,zanzibar bure kabisa

  4. Many good things you have done, weldone president hersi

  5. Aliyeona kitu kwa Ngassa jr. Tujuane 🙌

  6. Hivi mwamnyeto aliyemroga alikufa???

  7. Azizi ki kapambana sana msimu huu anastahili kiatu❤❤❤

  8. Azizi ki anasemaje dada fei ni wake na anatamba nae namimi kama baba mkwe npepitisha ndoa ifungwe

  9. Iyo mechi Ni Kama imeuzwa😮

  10. Mwamnyeto cjui ana shida gani huyu

  11. Fei alikuwa anampiga misumari mwamba….ila mungu naye ni nani😂😂😂😂

  12. Mwamba WA Ouagadougou ni ninja tu.

  13. @SkayuMusic dijo:

    Key anawashenyenta mabeki na makipa

  14. @dickMassawe dijo:

    Clement yanga wakimtumia kama winga alaf watuletee striker anayeeleweka clement tutaona umuhimu wake

  15. Nakupenda sana azizi l love you. baby boy❤❤❤❤🎉🎉🎉

  16. Huyu mwamba namkubali sana aisee. Mungu azifi kumtia nguvu

  17. Ila gharib mzinga maneno yako jaman mbona mambo d2

  18. Yule streka wa majini au teka la mguu mmoja salamu zimfikie…

  19. Jamani mashut ya aziz k ni ya moto naona golikipa wa prisoni anadaka alaf anapuliza mikono hatari ila prisoni wameyataka wenyewe pale walipo jaribu kupiga mzinga wa nyuki busu ndipo nyuki wakaamka kweli kweli comback ya kibabe

  20. Huyu golikipa wa yanga anadaka kwa macho

  21. Ndo wanafananisha na fei😂😂😂🎉

  22. akuna kitu kilicho wahi nifurahixha Feisal kukoxa kiatu big up brother

  23. Aziz ki kabeba1: kiatu 2:kombe :robo final caf 4:hamisa 5:kabebesha mimba yani musimu huu amekosa tu kumbeba rais

Los comentarios están cerrados.