REKODI MPYA: Timu ya Mbeya Kwanza wamejifunga magoli matatu na kuipa KMC ushindi wa 4-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Katika mchezo huu, beki wa Mbeya Kwanza, Geofrey Muha amejifunga magoli mawili, Rolland Msonjo naye akajifunga moja…. huku likingine likifungwa kwa penati kupitia kwa Matheo Anthony.
Goli pekee la Mbeya Kwanza limefungwa na habib Kyombo.
Camisetas Manchester United La actualidad del futbol de Castilla y León al completo. Todo el fútbol minuto a minuto. Partidos, resultados, jugadores. Fotos y vídeos
Hivi hawa maHome boy wapo siliasi kweli
Haya magoli yanachekesha haijawahi kutokea ligi kuu mechi kama hii???? mkajifunge magoli matatu kweli
Timu imexhakata tamaa,arafu uongozi w azam inafika maara inawapaswa mjiongezee ongezeni majukwaa hyo pesa z ukwaju mnapeleka wapi
Mlikuja kwa mbwembwe mtarudi mavumbini bila huruma
Siku ya kufa nyani miti yote hukatika
Kwa herini mbeya kwanza ligi kuu
Kujifunga magoli matatu nawaza ingekuwa simba au yanga maana hata nguvu za kucheka zimeniisha
?????????????? kumanishaaaa! ninii
Kwaheli mbeya mwisho
By by mbeya kwanza
Inaonekana ni mechi fixing hii.
Muguzi anywa uji wa mgonjwa
Uyo beki ni wa mchongo???
Huu uwanja wa Azam wangeujengea majukwaa tu.
???????
kwaheri mbeya kwanza karibu ihefu,
????? ngumu kumeza hii
Dah hatar
???huyo beki leo ilikuwa siku mbaya kwake muha