Magoli mawili kutoka kwa Kibu Denis na John Bocco yameipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
Camisetas Lazio Actualidad y últimas noticias de Portada Fútbol con La Provincia. Toda la información y última hora de Portada Fútbol.
Entradas recientes
- Chelsea vs. Shamrock Rovers: destacados extendidos | Liga UECL Fase MD 6 | Golazo deportivo CBS
- ¿La mejor salvada de la Premier League de todos los tiempos? ✋👀
- Newcastle United vs Brentford: destacados ampliados | Copa Carabao | Golazo deportivo CBS
- Mejores goles ganadores en los derbis de la Premier League
- Cada gol de la Premier League de la jornada 16 (2024-25) | Deportes NBC
Comentarios recientes
Kuna za Bocco sio OFFSIDE! Nice through passes Simba??
penalt ya wazi kabisa hiyo
Tazama Kisa Kinachozungumzia Sehemu ilipo milima waliyofungwa Yaajuja wa Maajuja |• Kwa zama Zetu Milima Hiyo Ipo Urusi |• Link To Video »» https://youtu.be/IcJeotve9xE ««
»» https://youtu.be/IcJeotve9xE ««
Sheikh Zayd : Kila Mwanadamu Amezaliwa na Jini Lake " Ndio sababu Mtoto hulia pindi anapozaliwa
» link to video / https://youtu.be/bdcNuqUF5s8
nguvu mojq
Tumenyimwa penati kapombe kabuluzwa
Kurudisha mpira nyuma Mara kwa Mara wakati mbele wanaomba mpira simba mnauzi kuliko.na kupunguza idadi ya magoli,
Yanga ??? skiliza hii ??
https://youtu.be/KgvKJ0gI_Js
kibu D?
Asante mnyama unazidi kutupa raha
Mnyama ni mnyama tu watatupisha sana kwa wenyekiti Love Simba hakuna kukata tamaaa
Wahooooi Simba yangu jmni Hongera sana bado tunadhinda tu hatutaki mchezo sie yaan bdo kidogo mtupishe kiti chetu nyie utopolo sawa ee
Simba sports club big Team Africa ???❤️?????
Iyo ndo simba bwaaana
Nimeangalia hilo goli la Boko na huyo kipa anavyorusharusha mikono kama …..yaani anajifanya kurusha mikono kama kamaindi wakati hata jitihada hakufanya za kuufata mpira. hiyo ni geresha tu lakini kipa kachemsha
Bango limewaka,ngoja wadroo game1 tupambanie point 6?
Simba raha ?????? hongera sana timu yangu ??✔️✔️
Mnyamaaaaaaaa oyooooooooo
Boko amerudi kweny ubora wake
nakubali sana
chamalangu la simba
Ukisema upime ubora wa wachezaji kwenye hii ligi Simba ? wana wachezaji wenye vipaji sana.
Kama hii ligi ingekuwa na marefa timamu mpaka saiv simba angekuwa anaongoza Ligi.
Captain fantastic goalSimba Nguvu moja
???? ??????? ??????? ??????????????
Simba rahaaaaaaaaa
Kagera watajuta wenyewe kutaka kucheza mchezo offside trick kwenye kipindi Cha kwanza na kipa wao si mwepesi sana. Kipindi Cha pili walinipa pressure tungekua hatuongezi wangetusumbua Sana. Dickson Mhilu na bwarya wameupiga mwingi Sana Jana na kibu ni hatari Sana
Hongera sana Simba Sports Club